. Man United watatumia jezi zitakazokuwa zinatengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS kutoka Ujerumani.
Man United wamesaini mkataba wa miaka 10 na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS, mkataba wenye thamani ya pound milioni 750 na sasa wataanza kutumia jezi za kampuni hiyo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.