0

Wengi wanafahamu Diamond na Ali Kiba ni wasanii ambao hawana uhusiano mzuri, 
Diamond amefunguka na kusema yeye anafanya biashara na hawezi kuacha kufanya kitu chochote chenye manufaa kwake.
Diamond amesema yupo tayari kufanya kazi na mtu yoyote na hayupo kwa ajili ya kuweka beef na mtu, anatamani kumsapoti Mtanzania yoyote kwa moyo mweupe kabisa. sikiliza hapa chini alichojibu alipokuwa akihojiwa clouds fm katika XXl 





Post a Comment

 
Top