CUF WAJIBU BAADA YA LIPUMBA KUTANGAZWA KUWA MWENYEKITI

Baada ya kupokea Ushauri huo, The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kinapenda kueleza yafuatayo: 1. Sheria ya Vyama vya Siasa (Political Parties Act, No. 5 of 1992)…
DAWA YA MWANAUME ANAYEFIKA MAPEMA KILELENI NA NAMNA YA KUCHELEWA KUFIKA KILELENI

Chanzo ni nini?Tatizo hili halina sababu za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti zikakakubalika ila wanasayansi wanaamini sababu zifuatazo zinaweza kua chanzo kikuu cha tatiz…

LIPUMBA APEWA WENYEKITI CUF

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba bado ni mwenyekiti ha…

madhara Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya mapenzi

Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: …

KWA USHUJAA HUU CHADEMA WANATAKIWA KUIGWA
September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama Diwani na Mwenyekiti wake kutoka kata ya Kurasini, Matiti Claudian Togocho kutokana …
VIONGOZI WA DINI WA WASHAMBULIA CHADEMA

Viongozi wa Dini nchini, wamesema Rais JOHN MAGUFULI Hajakataa kuzungumza wala kuwapuuza viongozi hao ambao wamemuomba kukutana naye, kama inavyoenezwa na baadhi ya vyombo vya habari. Akizungumza leo jijini, Dar es Salaam na waandishi wa habari Shei…
Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwenda hadi alipokuwa Zlatan

Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City. …
NCHI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE IMEZUKA KANANGA

Ghasia za siku mbili katika mji wa Jamhuri ya kidemorasi ya Congo zimesababisha vifo vya watu 10. Vikosi vya usalama Kananga vimekabiliana na wapiganaji wanaotaka kulipiza kisasi mauaji ya kiongozi wao aliyeuawa na jeshi mwezi Agosti, maafisa na vyo…