0

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo M
he. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Kilimanjaro kilichopo kata ya Mtumbya ikiwa muendelezo wa mikutano yake ya kila kijiji katika jimbo lake ambapo alizungumzia utekelezaji wa ahadi alizoahidi na kuwahakikishia wananchi hao kuwa ahadi zake zitakamilika mapema mno.


 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Mpenda ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa barabara ya kutoka Mtama, kupitia Mpenda , Mtumbya kwenda Kilimanjaro mkandarasi ameshapatikana na ataanza kazi hiyo mara moja na kuwahakikishia kuwa pamoja na kuwepo miradi mikubwa ya maji lakini Mpenda na Kilimanjaro watapata visima mapema.

Post a Comment

 
Top