0
Chaguo la wanambeya vijijini Stephano Mwandiga ametangaza kuendeleza harakati zake za kukomboa mbeya vijijini hii ni baada ya kuang
ushwa kwenye kura za maoni na Adamu  Zela nakushika nafasi ya pili.
Baada ya hapo palikuwa na tuhuma nyingi juu yake ambazo hazinauthibitisho kwamba alitaka kuama chadema na pia kutotoa ushirikiano kwa aliyepitishwa kugombea ubunge mbeya vijijini  bwana Adamu zeala lakini mwandiga alijibu kwamba alifanya siasa za kikanda.
Mwandiga ametangaza kufanya mkutano mkubwa siku ya juma tatu   na kuendeleza harakati zake za kusaka ubunge  Mwandiga ameandika  
“juma tatu nitakuwa ndani ya jimbo nikizindua harakati mpya kabisa ndani ya jimbo na propaganda hii inaitwa “KUMBUKA NYUMBANI” naomba mniunge mkono kwa hali na mali na muda wenu
Mh Stephano Mwandiga 202-2025”
Na pia Mwandiga amesema na aliyekuwa mgombea wa chadema katika jimbo ilo atakuwepo Adam Zela  pia bila kusahau wengi waliokuwa katika kinyanyiro icho ni  Daud Mponzi, Edson Jisandu, Adam Zela, Anthony Mwaselela Hadson Sheyo, Benson Mwamengo, Frank Mwaisumbe Christina Kalisoto, William Msokwa, Elias Songela na Jeremiah Mwaweza.em

Post a Comment

 
Top