Ni ndege
aina ya  Boeng 737 iliyotokea dubai  Dubai ilimilikiwa na shirika la Flydubai.
Ndege hiyo ilizunguka kwa karibu masaa mawili kabla ya kufanya
jaribio la pili la kutua kufutia hali mbaya ya hewa.
Ilianguka
mita mia kadha kutoka kwa barabara ya uwanja ambapo ilivunjika na kushika moto.

Post a Comment