0
Korea ya kaskazini  imerusha makomboro ya bahari ambayo ni ya
mashariki ya pwani  nah ii ni baada ya  kiongozi wake kim jong-Un kuangiza majaribio ya slaa mbalimbali ikiwemo na kinuklia. lakini marekani imejibu kwa kutoa wito kwa Pyongyang kwamba asiwe na hofu kwani ilo ni jaribio la nne la mabomu ya kinyuklia
       Lakini ilo linakuwa kama tishio kwa korea kusini juu wa umiliki wa eneo ilo na kuonesha hatari iliyopo


Post a Comment

 
Top