0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakimjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu
 Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye ambapo hii ni baada ya Raisi kwenda kumjulia hali japo kipindi cha Uchaguzi mkuu Mwaka jana pia alimuona na balozi


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Balozi Hassan 
Kibelloh ambaye naye  amelazwa katika hospitali ya taifa y Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016.

Post a Comment

 
Top