0

Mtunzi Izzochapa
From ZANZIBAR
 UTAMU WA CHUMBA CHA SHEMEJI 9
MSAMBAZAJI DIMAS MWASILE



Episode 1 sehemu ya 9
Nilipoingia ndami nilimkuta zainabu amekaa kwenye sofa anachezea simu yake na mdogo wake yuko pembeni yake nilipitiliza mpaka chumbani nikajilaza huku nawaza nifanye nini kuhusu zainabu,
Nikiwa nimejilaza umeme ulikatika zainabu akaja chumbani akaweka mkoba wake pembeni akavua nguo zake akaenda kuoga, alipotoka akapanda kitandani nikamuangalia nikamhoji,

"Ulikuwa wapi?.
"Kazini, "mpaka sasa hivi?.
"Ndio kwani tatizo liko wapi?
"Wewe hujui ni mke wa mtu,,
"Kama ni k*m hii hapa bwana usinisumbue,
"Ndio hata hiyo ni haki yangu lazima niifanyie kazi,
Kwa kuwa nilikuwa na siku mbili bila kupakua mzigo nilivua bukta langu nikamulaza chali nikaingiza kitu ndani ya utamu,
"Aaah!!!!.... siyo kukomoana sasa,,,
Nilinyanyuwa mguu wa zainabu juu mguu mwingine ukawa chini nikawa napampu mashine kwa kwenda mbele,



Kutokana na joto kule chumbani kwa shemeji sasha,, Sasha alitoka ili kwenda kujimwagia maji apunguze joto,
Akitaka kwenda chooni lazima upite koridoo ndogo upite chumba chetu kisha ndipo uelekee bafuni sasha alipopita nje ya chumba chetu alisikia dada yake akilia vilio vya mahaba,
"Aaaah!!!... axiii.......iiiiizzo tamu tamuuu lkn unaniumiza ashiiiiii aaa tamuuuu tamuuu....
Sasha aliganda kusikiliza kama dk10 hatimae akajikuta anajimwagia kwenye chupi,
*mh!!!.. dada anafaidi lazima na mimi ni upate huo utamu nitamtega kwa namna yoyote nitaanza kwa kuvaa khanga moko kama ile ya Baikoko ikishindikana nitavaa hata chupi peke yake...*

Sasha alienda kujimwagia maji alipomaliza akarudi chumbani kwake, na mmi nilipotupia kamoja nikajilaza kwani sikupata raha kama ya siku zote zainabu alikuwa ameitega tu bila kujishugulisha,

Palikucha nikaamka nikiwa wa mwisho kwani nilikuta zainabu ameisha ondoka nilijiandaa baada ya kujiandaa nikatoka sebureni nikakaa kwenye sofa Sasha akanitengea chai kisha akanikaribisha mezani,
Nilikaa kunywa chai ila nilipogeuka nilishangaa kumuona Sasha akiwa ndani ya kanga moja bila hata chupi ndani yake nilinyamanza ila kimawazo alinihamisha sana nilitamani nimbake ila nafsi ikasita kabisa,,
Nilikunywa chai baada ya kumaliza nikainuka kwa ajiri ya kuondoka,
"Shemeji hatuna pesa ya mboga leo,
"Sawa nitamuagiza mtu ataleta samaki kilo 20 na nyama ya mbuzi kilo 20,
"Sawa shemeji,
"Labda chukua hii elfu hamsini mtanunuwa vitakavyobaki,
"Sawa,
Sasha alikuja kupokea pesa ila kila kiuongo kilikuwa kinachewa kutokana na nguo nyepesi aliyokuwa ameivaa Ngu hizo zilikuwa nyepesi mnoo,

Niliondoka zangu kwenda kwenye manbo yangu ya hapa na pale,
Nilipita kwanza kumuona mdogo wake na shamsa ili kujuwa ameamkaje?.
"Karibu Izzochapa,
"Asante vipi za hapo?
"Nzuri tu,
Nilikaa kimya baada ya muda nikamhoji mdogo wake shamsa,
"Maimuna ulisema unahitaji kusoma?
"Ndio,
"Sasa kuna mil.10 nilimpa dada yako kwa ajiri ya biashara zake kwenye droo ya chini utazichukua wewe utajua nini cha kuzifanyia kama ni kusoma ni wewe mwenyewe ila matumizi nitakuwa nakupa kila mwezi laki nne sawa,
"Sawa nashukuru shemeji ila shemeji we handsome sana na mkarimu ,,,
Thanks hata wewe pia ni mkarimu kama dasa yako shamsa''
Asante shemeji, ,,,
"Sawa ukiwa unahitaji msaada wowote nitakupa,
"Asante sana,,
Maimuna alikuwa siyo muongeaji sana ndicho nilichompendea mimi, nilimpa pesa nikatoka ili kuondoka ila nilipofika mlangoni nilikutana na Vicky,
"Afadhari nimekukuta izzochapa na shida ya kuongea na wewe?
"Mi natoka twende tukaongelee kwenye gari,
"Izzochapa hatuwezi kuongelea kwenye gari wakati nimekuja kwako,
"Sina mda wa kukaa ndani nimekwambia,,
"Au kwa ajiri ya hicho kisichana ulichokileta?.
"Utakavyoona wewe,
"Sawa asante mungu atanilipia,
"Atakulipia kwa lipi kumsaliti yule mzee ama?
"Izzo naomba uachane na masuala ya huyo mzee,
"Na wewe naomba uachane na masuala ya kuniambia kuhusu wanawake ambao hujui nakaa nao vipi,,
"Izzochapa usitake kunitibua nitakufanya kitu kibaya,
"Fanyaaa,
Nilimjibu huku nikiingia kwenye gari yangu na kuondoka,

Mida ya saa tatu nilirudi nyumbani ila nikakuta zainabu hajafika tena,
Niliingia chumbani nikaoga baada ya kuoga nikajilaza kitandani mala nikasikia hodi,
"Karibu,,
Aliingia Sasha akiiwa ana kanga moja mwili wote ulikuwa umefungiwa kifuani, alinifuata kwenye kitanda akaniinamia kisha,









episode 2 sehemu ya 9
Nilimuangalia kuanzia chini mpaka juu lkn nikamezea tu,
Mawazo yalihama nikaanza kumuwaza shamsa nikafikilia na kuwaza ni nani atakuwa anahusika na kifo chake? Au ni wale jamaa walionituma India? Upande mwingine nilimfikilia eliza kuwa anaweza kuwa anahusika kwa kiwango kikubwa ila kwanini afanye vile Elizabeth? Aaaaah anaweza kwa kuwa alijua kuwa nipo nae kimapenzi maana siku ambayo naenda dodoma nilimkimbia mbele ya shamsa, lakini wale jamaa waliokuwa wamenipa kazi ya kwenda india nao wanaweza kuhusika kwa kuwa sikufanya kazi yao,

Sasha alinishitua kutoka kwenye mawazo niliyokuwa nayo kwa kunikalibilisha chakula,
"Shemeji karibu chakula,
"Asante,,
Nilijinyoosha nikaenda chumbani nikatoa nguo nikazama bafuni nikajimwagia maji baada ya kujimwagia maji nikarudi sebuleni kula,,
Mpaka wakati huo zainabu alikuwa hajarejea nikamuuliza mdogo wake,
"Sasha dada yako hajarudi?
"Bado,
"Sawa,
Niliangalia saa nikagundua ilikuwa ni saa 4 usiku, nilikula baada ya kula nikatoka nje nikakaa kwenye kibaraza nikawa natafakari mwisho wa haya maisha yangu ni nini?..
*nimempoteza shamsa kwa kifo cha utata sijui wauaji walilenga nini au niliwakwaza nini kama wamemuuwa shamsa mimi nitabaki kweli? Nikiwa katika mawazo yangu simu yangu iliita kuangalia alikuwa ni Vicky sikupokea kwani nilikuwa namtafutia sababu ya kumtoa kwenye list yangu nibaki na zainabu tu,
Alipoona sipokei akatuma ujumbe mfupi,
*sawa nashukuru ila wewe siyo wa kunifanyia haya*
Nikamjibu,
*yapi?*
*huwezi kuacha kupokea simu yangu*
*achana na mimi endelea kuwa na hicho kibabu chako*
*sawa ila juwa wakati tunapendana ulinikuta nacho*
*na ndio maana nimekuacha nacho*
*sawa izzochapa nashukuru sana kwa majibu yako mazuri*
*asante kwa kushukuru hata na mimi wakati nakutana na wewe nilikuwa na mke pia*
*unasemaje?*
*kama ulivyosikia au husikii vizuri siku hizi?*
*Izzochapa hapo ndipo unapotaka kunikoroga*
*kivipi*
*una mke?*
*ndio na wewe mbona una kibabu chako sijapaniki*
*sawa asante*
*na wewe asante*

Niliacha kuchat naye nikaendelea kuwaza yangu mpaka saa tano zainabu alikuwa hajarejea na siyo kawaida yake,
*huyu naye kaenda wapi mpaka sasa hajarudi nyumbani? Mbona hawa wanawake wanataka kunitoa roho mimi?*
Niliendelea kuvuta subra ilipofika saa sita nikaona aaaa!!!!!.. wapi acha nimpigie simu,
Nilimpigia simu ila iliita mpaka ikakata nikajaribu tena ila wapi,
Aaaaa jamani ndio nini sasa hapokei simu?
Niliacha kumpigia simu nikakaa kimya ilipotimu saa sita na nusu nikaona mwanga wa mataa ya gari getini kisha honi ikafuatia mlinzi akaenda kufungua,,

Zainabu aliingia na gari yake akapaki baada ya kupaki akashuka cha kusitaajabisha alipita bila hata salamu na mimi nikamuangalia nikamnyamanzia baada ya dakika tano nikaingia ndani kuona kama ataniambia chochote.





episode 3 sehemu ya tisa
Nilipowaona sikusita kwenda kwenye lile kaburi,
Nilifika kwenye kaburi nikawasalimia,,
"Habari zenu?.
"Nzuri, waliitika kwa sauti ya unyonge "nzuri,
Nilipitiliza nikakaa pembeni ya kaburi machozi yakaanza kunitoka kwani nilikumbuka mengi sana kuhusu shamsa,
Gefy alinyanyuka na Yasinta akanyanyuka wakashikana mikono wakaanza kuondoka, niliwasindikiza na macho mpaka wakaishilia,
"Mjumbe samahani naomba ukaniletee yule mgeni wangu hapa,
"Yule binti aliyeko kwako?
"Ndio,
"Sawa, ngoja niende,
"Si unaweza kutumia gari?
"Ndio,
"Chukua funguo nenda na gari yangu,
"Sawa,
Mjumbe aliondoka akaenda kumleta mdogo wake na shamsa,


"Shamsa umeniacha ila nilikupenda kwa dhati kutoka moyoni, aaaahaaa haa!!!! haaa!!!... shamsa mke wanguuuu,,,,...,, nilikupenda sanaaa mimi leooo siamini 😫😫kama umeniacha peke yangu,,
Nililia sana kumbe mda huo nalia mjumbe alikuwa nyuma yangu pamoja na mdogo wake shamsa,,
"Shamsa eee... hataaa hukuniagaaa mke wanguuuu ningeweza ningekuamsha mke wanguuu nikakuagaaa😩😩haaaaa!!! Mh!!!!!! Shamsa mke wanguu...
Nikiwa naomboleza nilisikia sauti nyuma ya kilio tena ya msichana kugeuka nilikutana na uso wa mdogo wake shamsa,,
"Dada wafyuyee utambonyeee (dada umekufa bila kuniona),, dasa wafyuye utaharutse mulugo (dada umekufa hujarudi nyumbani)
Tulilia sana ila hakuna linalokosa mwisho hatimae tulinyamanza nikamsimulia kifo cha dada yake kilivyotokea akakubaliana na hali halisi,,

Tulirudi nyumbani ila kila mmoja alikuwa hoi kwa uchungu tuliongea mengi hatimae tukaelewana nilimpa na story ya dada yake kuachika kwa gefy akanishukuru kwa msaada niliompa dada yake ila kumbe na yeye ujio wake alikuja kumpa taarifa dada yake vifo vya wazazi wao,,
Tuliongea mengi sana hatimae nikamwambia tutaishi pamoja pale na tutasaidiana kimaisha,

Saa moja nilirudi kwangu kwa mke wangu zainabu),.



Nilimkuta Sasha ila zainabu alikuwa hajafika,
Nilimuangalia sasha nikatadhimini kimini alichokuwa amevaa kwani kilikuwa kimeacha sehemu za mwili wazi kutokana uzuri wake nilijikuta namtamani shemeji yangu,,
************Itaendelea************





episode 4 sehemu ya tisa
"Karibu, "asante,
Nilipotaka kuingia ndani akaniuliza,
"Sijui ni nani mwenzangu?.
"Baba mwenye nyumba,
"Ooooh!!! Shemeji?... mr Izzochapa?... "Nikamjibu yesa,,
"Oooh!!!!! Karibu mume wangu,
Aliniambia huku akinikumbatia duh!!!!... mwili ulinisisimkaa kwa kuguswa na kifua chake na shavu langu kukutana na shavu lake na mikono yake kunishika kiuononi,
"Asante hujambo?.
"Sijambo pole na matatizo shemeji,
"Asante, "karibu ndani,,
Niliingia ndani nikakutana na mke wangu zainabu amekaa kwenye sofa ila alionesha ni mwenye kutokwa machozi,,
"Mke wangu vipi hali yako?.
"Nzuri tu,,
"Mbona kama ulikuwa unalia?
"Mume wangu kwanini ulinizimia simu.
"Lakini si nimekuja?
"Tatizo siyo kuja,
"Ila nini?
"Izzochapa unajuwa fika kuwa ulikuwa kwenye matatizo sasa ulipozima simu ulitegemea nini? Au mimi niwaze nini?
"Mke wangu lakini si nilikuwa nimetoka polisi,,
"Hata kama je hao waliokushitaki mimi najuaje kama hawana kinyongo na wewe?.
"Hizo fikira zako tu.
"Sawa nashukuru,,
"Unashukuru kwa lipi?.
"Izzochapa kama ungekuwa unanijari kama mkeo ungetoka jera ungeanza kuja kwako kwanza kabla ya kwenda kwa hao vimada wako,
"Kwa hiyo nilikuwa kwa vimada?
"Utajua mwenyewe,
Zainabu alikuwa anaongea maneno makali sana nilipoona hali hiyo nilinyanyuka nikaenda zangu chumbani yeye akabaki pale sebureni na mdogo wake,

Baada ya mda alikuja chumbani akafanya yake kisha akatoka alipofika sebureni akamtuma mdogo wake,
"Sasha kamkaribishe shemeji yako chakula,,
"Sawa,
Dk0 nilisikia hodi,
"Karibu,
Aliingia sasha,
"Shemeji karibu chakula,,
"Asante,
Sasha alirudi sebureni baada ya mda alipoona sijaenda sebureni akamtuma tena sasha,,
"Hebu kamjaribu tena,
Sasha alikuja tena,
"Hodii..
"Karibu,
Safari hii alikuja mpaka kitandani akanishika mguuni,
"Shemeji twende tukale,
"Nakuja,, "aaah!! Shemeji twende,
Aliongea huku akinishika mkono niliamka kitandani,
"Shemeji (sasha) tangulia nakuja,
"Sawa,,

Nilitoka nikaenda mezani nikavuta sahani ila Sasha akaichukua,
"Shemeji ngoja nikupakulie,,
"Sawa,
Nilikula baada ya kula nikarudi chumbani nikajimwagia maji baada ya kuoga nikapanda kitandani nikalala,
Mda kidogo na zainabu akaja kulala,
"Izzochapa mume wangu nisamehe,
Nilimkalia kimya,
"Izzochapa nina hamu na wewe mume wangu,,
Nikakaa kimya,
"Izzochapa mume geuka basi huku,
Aliongea huku akinivuta,
"Zainabu kuwa mwangalifu nitakupatia usijali,,

Alikaa kimya hakurudia tena kuniita kila mtu akalala kivyake,

Palikucha nikajiandaa ili niende kumuona mjumbe anipeleka kwenye kaburi la shamsa,
Baada ya kujiandaa nilikaa sebureni kusubili kunywachai ila kichwani nilikuwa na mawazo nitamueleza nini mdogo wake shamsa kuwa shamsa alifariki?.
Swala hilo liliniumiza kichwa sana ila nikaijuwa mwisho wa juwa kuzama siku hiyo lazima nimwambie ukweli,,

Nikiwa katika mawazo yangu kengele iligonga kuashiria kuna mgeni nje,
"Sasha kafungulie mgeni,
"Sawa,
Aliingia mbaba na mmama,
"Karibuni, "asante,
Baada ya dk2 wakauliza,
"Tumemkuta zainabu?.
"Ndio,
"Sasha kamwite dada yako,
Sasha alienda kumuita dada yake akaja sebureni,
"Karibuni jamani shikamooni?
"Marahaba za siku?
"Nzuri,
Waliongea baada ya mda wakaeleza shida yao kuwa walikuja kuchukua pesa iliyobaki wakati wanauziana nyumba hiyo tunayoishi,
"Yaani wazee wangu sasa hv nina hali mbaya labda mwisho wa mwezi,,
"Na sisi tuna shida ya pesa mwanangu,
Nilingilia kati,
"Wazee mnadai kiasi gani cha pesa?
"Mil.70,
"Sawa piga hesabu kwa dora inakuwa kiasi gani?.
Walipiga hesabu zao kisha nikaingia chumbani nikachukua dora katika zile dora nilizopata kipindi kile nataka kwenda india nikawapa,.
Zainabu alishangaa nimetoa wapi pesa zile alafu kilichomshangaza zaidi ni madorale tu hakuna pesa ya Tz,,

Baada ya hapo nilikunywa chai nikaondoka,,
Nilimpitia mjumbe tukaenda makaburini ila huko makaburini nikamkuta Gefy na Eliza...


inaendelea chini

Post a Comment

 
Top