0
MTUNZI IZZOCHAPA
UTAMU WA CHUMBA CHA SHEMEJI
MASAMBAZAJI DIMAS MWASILE




episode  1
Mlango ulifunguliwa kwa nguvu nikashituka nikajua yamenifika leo,
Aliyengia alikuwa ni mwanaume ila sikuweza kumtambua lakini VICKY alimtambua kupitia sauti yake,
"Wee VICKY uko na nani humu chumbani?.
Nilimshika mdomo maana nilijuwa anaweza kukurupuka na jibu lisilo rasmi,
"VICKY nakuuliza uko na nani?.
Nilimuachia mdomo nikabilingia kwa pembeni,,
"Wewe unaona niko na nani?.
Wakati wa majibizano nilijitoa kitandani nikaenda pembeni nikazunguuka kwa kunyata mpaka mlangoni nikatoka nikiwa na nguo mkononi,, Yule jamaa alieingia hakuniona hata mara moja
"Seko: vipi umesalimika?.
"Ndio seko,
"Seko: vaa haraka sasa,,
Nilivaa nguo fasta fasta nikaenda kuwasha umeme kwenye main switch,,

Huko chumbani kelele zilikuwa kali sana mpaka nje tukawa tunasikia,
""Kwanini umeme haukuwepo?
"Kulikuwa na shoti,
"Kwa hiyo shoti imejitengeneza?.

"Kuna fundi yuko huko alikuwa anarekebisha,,
"Sasa mke wangu kwanini hukuniambia kuwa kuna tatizo la umeme?
"Wewe ni fundi?
"Siyo fundi ila nilipaswa kujua sasa kama hivi ona sasa nimekutukana bila kosa nilijuwa huenda una mwanaume humu ndani?.
"Yote heri tu,,
"Basi nisamehe mpenzi wangu,,
"Naomba uniachie usiniguse,,
"Kwanini?..
"Mimi si malaya sasa unachohitaji hapa nini? Hapa si kwangu,
"Lakini nimeomba radical,,

Wakiwa wanabishana niligonga hodi mlangoni,
"Ko ngo ngooo....,,...,,
VICKY aliitika,
"karibu,,..,,nani?..
"Mimi fundi,,..,,
"Umemaliza fundi?.
"Ndio dada..
"Sawa nakuja kaa hapo sebureni,,..,,,
"Sawa,,
Nilitulia kwenye sofa kusubili,,
Baada ya dk5 alitoka chumbani VICKY,,..,,

"Fundi pole na kazi,,
"Fundi pole na kazi,,..,,
"Asanteni..,,..
Jamaa yake naye alikuwa nyuma,,
"Fundi kwa hiyo tatizo halitatokea tena?.
"Siwezi kusema halitatokea maana huu umeme hautabiliki,,
"Ok, sawa..,,..
VICKY aliomba pesa kwa jamaa yake ili anilipe,
"Mpe fundi millioni moja,,
"Millioni?. "Ndio,,..,,
"Kumbe tatizo lilikuwa kubwa,,..,,
"Lilikuwa kubwa ndio kamaliza masaa matano hapa,,
Jamaa hakupinga alitoa millioni akanipa,
"Sawa asanteni mimi nakwenda,,
"Haya ufike salama,

Niliwaacha mimi nikarudi sinza kwa Eliza,
Nilipofika nilifunguliwa geti nikaingiza gari kisha nikaelekea mlango wa sebureni nikapiga hodi,,
"Karibuuu..
Sauti ya Eliza ilinikaribisha nikafungua mlango nikaingia ndani nilishangaa kumkuta mwanaume ndani tena sura yake ilinionesha kukasirika sana,,
"Karibu Izzochapa,,..,,
"Asante..
Nilipita nikakaa kwenye sofa nikatulia kimya huku nikisoma ramani ya ndani kinachoendelea pale kati ya wawili hao,,
"Izzo mbona huongei?.
"Aahh!!! Shwarii tu..,,..
"Vpi za kazi?.
"Nzuri tu..,,...
Jamaa alikuwa akiniangalia kwa jicho kali sanaa mpaka nikapata wasiwasi,,
"Eliza mimi nakwenda tutaonana kesho,,
Kabla Eliza hajajibu yule jamaa akadandia tena,,
"Samahani broo wewe ni nani?.
Aliniuliza huku akibetua midomo,,
Nilimuangalia jinsi alivyoniuliza kwa dharau nikampa jibu,,
"Unaniuliza kama nani?.
"Kama mwenye nyumba,,..,,
Nilimpa jibu lililomchoma moyoni,,
"Kama mwenye nyumba unadai kodi?.
"Kaka kuwa na heshima unajibizana na mimi kama nani?
Nilimpa jibu la mwisho..
"Kama mume wa Eliza,,
alitoa macho kama kakabwaaa....
Eliza aliniangalia usoni akatabasamu kisha akaongeza neno,,
"Haya mwenye nyumba sema unadai kodi mwenye mke anauliza?..
Jamaa alinyanyuka kwa hasira,,



episode 2
Jamaa alinyanyuka kwa hasira,,
"Eliza unasemaje?.
"Kama ulivyosikia au nurudie kwa faida ya nani?.
"Eliza kumbuka tulipotoka,,
Niliingilia kati,,
"Mlipotoka wapi kila mtu si ametoka kwenye tumbo la mama yake?.
"Kaka naomba uniache niongee na mpenzi wangu,,
Eliza aliingilia kati,,
"Gefy naomba usinivunjie uhusiano wangu na mpenzi wangu izzochapa lini nimekuwa mpenzi wako?.
"Eliza leo unanikana?.
Eliza alinigeukia akanipa ulimi kisha akasema,,
Izzo mpenzi wangu usikasilishwe na maneno ya huyu mpuuzi,,
"Eliza siwezi kukasirishwa na huyu mpuuzi asiyejiweza,,
Jamaa akaongea kwa huruma,,
"Eliza leo unanifanyia haya mimi?..
"Yapi Gefy mbona unataka kuniharibia siku?. Kwanza toka nje,,..,,
"Eliza sina pakwenda naomba hifadhi nitafute pa kwenda,,
Eliza aliniangalia kisha akaniuliza,,
"Etii baby unasemaje kuhusu hilo ombi lake?.
"Muache akae akipata pa kwenda ataenda,,
Eliza alimgeukia Gefy,
"Nazani umesikia jibu..
"Asanteni..,,..
Eliza akamjibu,
"Utalala kile chumba cha nje,,..,,
"Sawa nashukuru,,..,,,

Baada ya maongezi Eliza alinishika mkono akaniongoza mpaka chumbani,,..,,
"Izzochapa nakupenda sana tena sanaaa na uliponipa ule utamu ndio basi tenaa nimekufa kwako,,...,,,
"Hata mimi nakupenda,,.. nilimshika kiuno nikampeleka mpaka kitandani nikamuendea juu nikampa ulimi taratibu tukaanza kupapasana kwa uchovu niliokuwa nao niliona bora nimpe sitairi ya mbuzi kagoma kwenda ili twende sawa,,..,,
"Eliza sogea kidogo alafu uiname kichwa ukiinue kidogo yaani uwe kama mbuzi,,
"Mh!!!...,,.. hi..viii..,,..
"Ndio,,..,,
Niliingiza mwichi kwenye kinu kisha nikaanza kutwanga kwa spidi sikumruhusu achezeshe mwili wala miguu nilimbana vilivyo mpaka akatoa chozi nilipiga mwichi kwa nguvu mpaka kinu kikakauka kikawa na ukame,,,..,,
Iii....iizzo..,,.. axiiii unaniumizaaa..,,, kweli nilijuwa anaumia kutokana na ukame sikujari hilo nilizidisha kutwanga ili wazungu walete chemu chemu juhudi ilizidi hatimae wazungu wakaibuka na nafuu ikapatikana wachezaji tukapata nguvu na tukafunga gooooal.....

Nilimuachia ila kila mtu alikuwa hoi binitaabani,,..,,
"Iii...zzo...,.. "naam..,,..
"Uwii..ii umenivunja vunja hapa sina hamuu..,,...
"Hata mimi niko hoi,,..,,
Tulipitiwa na usingizi mpaka saa kumi alifajiri aliposhituka Eliza akaniamsha,,
"Swty..,,..swty...,,...
"Naamm...,,..
"Saa kumi na nusu alafu hatujala,,
"Ndio maana nasikia njaa kali sana,,..,,
"Nikupikie nini sasa hivi ili tule na mda wa kazini utakuwa unafika,,..,,
"Chochote tu. ,,..
"Nakupikia supu ya kuku?.
"Ifanye iwe rosti na chapati kama haitakuwa kazi ngumu,,
"Siyo kazi kuna chapati zile za bahkresa zimesukumwa kabisa nikuweka kwenye kikaango tu..,,..
"Sawa fanya hivyo,,...

Alipika hatimae tukala kufika saa kumi na mbili kasoro tulikuwa tayari tumemaliza kula na kuoga tukawa tayari kwa kutoka kwenda kazini,,
"Baby ratiba zako zikoje?.
"Mimi nitaanzia kimara,,
"Sasa kuna ile gari nyekundu Extrial utatumia kwa ajiri ya mambo yako ya kila siku na kadi hii hapa,,
"Asante swty,,..
"Usihofu wewe ni wanguuu..,,..

Nilipewa gari kilaini ila nikajua nikilaza damu ipo siku itarudishwa mikononi mwake nilichofanya nilipotoka nayo niliiuza siku hiyo hiyo nikanunua gari nyingine aina ya Prado nikaanza kutesa nikasahau shida kwa siku moja,,

Nikiwa katika misele simu yangu iliita nikaipokea,,
"Hallow fundii habari?.
"Nzuri tu vipi za toka jana VICKY?.
"Nzuri uko wapi?.
"Niko mitaani..,, "mbona jana huku pokea simu yangu?.
"Saa ngapi?..
"Usiku nilipiga mara ishirini bila majibu,,
"Pole sikujua kama ni wewe,,..
"Mbona sasa hivi umenijua,, "kwa sababu nimepokea,,..,,
"Jana kwanini hukupokea?..
"Tuyaache hayo...,,,..
"Sawa nataka kuonana na wewe,, "saa ngapi? "Hata sasa hivi,
"Niko natafuta vibarua,,
"Njoo nitafidia hiyo pesa,,
"Tuonane wapi?..
"Kwangu,,..,, "aaah!!! Wapi naogopa,,
"Basi niambie tukutane wapi?.
"Njoo magomeni usalama,,
"Sawa nakuja,,..,,

Nilianza kwenda magomeni ili nikutane na VICKY,,..,,
Nikiwa maeneo ya ubungo nilikosa kosa kumgonga mdada mmoja alikuwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari nilifunga breki nikatoka kwenye gari nina hasira nikampiga kofi,,
"Unavuka vipi barabara bila tahadhari?
"Nisamehe kaka yangu ni makosa yangu..
Nilimuonea huruma kwa sauti yake ya unyonge,,
"Unaenda wapi?.
"Magomeni,,






episode 3
Yule binti aliingia kwenye gari tukaanza safari ya magomeni,,
"Unaitwa nani?.
"Shamsa,,..,, "unaishi mitaa gani magomeni?
"Lango la jiji,,..,,
"Mbona unaonekana una matatizo?.
"Ndio ninayo tena makubwa sana,,
Rafudhi ya huyo binti ilinieleza kuwa siyo mtanzania,,..,,
"Una matatizo gani shamsa?.
"Mimi kwetu ni rwanda nikiwa huko kwetu nilipendana na kijana wa kitanzia akanichukua akanileta huku tukaanza kuishi pamoja ila baada ya mwezi akaanza kunitesa mara harudi nyumbani hatimae akanitoroka kabisa na hivi sasa kwenye nyumba nadaiwa nilikuwa nimeenda ubungo kuomba msaada wa kurudishwa kwetu kwenye bus ya Taqwa ili nikifika huko watalipwa ila wamekataa hapo mawazo ndipo yakaongezeka nikaingia barabarani bila kuchukua tahadhari,,
"Pole sana Shamsa,,
"Asante,,

Tuliendelea na safari huku tukiwa tunapiga story za hapa na pale siyo siri mtoto wa kinyarwanda alikuwa mzuri sana umbo la mvuto kifua kidogo kidogo macho ya kuregea akikuangalia utazani anasinzia kumbe ni pozi la macho,,
Tulifika anapoishi akashuka,
"Karibu,, alinikaribisha bila hiyana nikashuka tukaingia ndani kwake,,
"Karibu ukae kaka,,
"Asante,,..,, "alafu mimi sijajuwa jina lako?.
"Naitwa Izzochapa,,..,,
"Nashukuru kukufahamu Izzo
tukiwa katika maongezi mlango uligongwa kuashiria hodi ila ilikuwa ni hodi ya shari kwani mpiga hodi aligonga mlango kwa nguvu sana Shamsa aliitika hodi,,
"Karibuuu..,,,...
Aliingia mzee wa makamo akiwa amekunja sura utazani anajisaidia,,
"Wewe binti naomba utoke kwenye nyumba yangu nilikuwa nakusubilia kwa hamu sana,,
"Baba nivumilie hizi siku mbili nitatoka tu,,
"Acha ujinga wewe malaya toka kwenye nyumba yangu,,..,,
Niliingilia kati,,
"Mzee taratibu basi,,
"Taratibu ndio nini wee kijana acha kuingilia yasiyokuhusu,,
"Mzee ongea kistarabu ukipayuka utashindwa kueleweka,,
"Nani anapayuka?
"Wewe hapo kwani naongea na nani?.
"Kijana kuwa na heshima,,
"Ninayo kwenye suruali yangu na wewe unayo yakwako,,
Shamsa alinishika mkono,,
"Kaka Izzo acha bana..,,..
"Niache nini sasa mi namwambia ukweli?..
"Alafu wewe kijana hunijui?.
"Nikujue we fara unisaidie nini?.
"Sawa ngoja nije,

Mzee alienda polisi akaja na polisi watatu wakapiga hodi wakaingia,,
"Huyo hapo,,..,,
"Kaka unahitajika polisi, "kwa kosa lipi?.
"La kumtukana huyu mzee na kumdhalilisha,,
"Nimemdhalilisha kivipi? "Nimempiga dole au?.
"Twende kituoni utayajulia huko huko,,
"Sina mda wa kwenda kituoni kwa sasa..,,..
Yule mzee "mnasikia dharau zake?.
"Kaka hatupendi tuanze kukuburuza kama mwizi,,
"Mkiniburuza na mimi nawaburuza tu,,..,,
Wale maasikari walishindwa wafanye nini wakajawa na wasiwasi wakatamani kuondoka ila wakakosa namna wakamwita mzee pembeni (nje),,
"Mzee kwa uchunguzi wetu tumebaini yule ni mwanajeshi wa JWTZ kwa hiyo achana naye sisi tunakwenda,,
"Sasa si atanimaliza jamani?.
"We kaa naye mbali tu,,

Wale polisi waliondoka yule mzee hakurudi tena ndani,,
"Shamsa unadaiwa kiasi gani na huyo mzee,,
"Miezi minne na kila mwezi tunalipa 40000,,
"Kwa hiyo ni 160,000,
"Ndio,
Sasa wewe unaonaje nikupe nauli au nikulipie nyumba,, patamu hapooooo..





episode 4
"Shamsa nikupe nauli au nikulipie nyumba?.
"Bora nirudi kwetu nitashukuru sana kaka
"Sawa nauli ni kiasi gani?.
"Elfu sabini tu kaka,,
"Hiyo inakufikisha mpaka nyumbani?.
"Ndio, nilitoa pochi nikatoa noti nyekundu kumi na tano,,,,
"Chukua hii laki na nusu ya nauli alafu chukua hii elfu therathini ya gest,
"nashukuru sana kaka Izzo nashukuru sana,,
"Ayaa, nikiwa naendelea kuongea naye simu yangu iliita kuangalia alikuwa ni Eliza,,
"Hallow swty?
"Naam mamboZzz..
"Poa nimekumisi Izzo wangu,,
"Hata mimi pia vp bado uko ofisini?
"Ndio nataka uje tukapate chakula cha mchana,
"Mh!!!..sawa ila sitokawia maana nina kazi sehemu flani,,
"Sawa njoo hutakawia,,
"Sawa nakuja dk5 nipe,
"Sawa utanikuta kilimanjaro hotel,,
"Sawa,,

"Shamsa ofisini wananiita mara moja kwa hiyo mimi nakuacha,,
"Sawa nashukuru sana,,
"Haya sasa hivi vitu utaviweka wapi?
"Mwenyewe akija atavikuta hapa hapa,,
"Sawa basi kwaheri tutaonana baadae,,..,,
"Sawa ila naomba namba yako,
"Sawa 071******6 na wewe nipe yako,
"Yangu 065******8,
"Sawa tutawasiliana shamsa,,
"Sawa,,

Nilitoka nikamkuta yule mzee nje amekaa nikamuangalia
akajiwahi,
"Nisamehe baba yangu,,
Sikumjibu nikaondoka zangu,,
Nilipoingia kwenye gari tu simu ikaita hakuwa mwingine alikuwa ni VICKY,,
"Hallow VICKY,
"Hallow Fundi niko hapa karibia na usalama,
"Njoo mpaka studio ukifika nijulishe sawa,,
"Sawa,,

Nilikimbiza gari ili kuwahi ahadi yangu na Eliza ya kula chakula cha mchana pamoja,
Kabla sijafika hata jangwani nilimtumia meseji shamsa,
*shamsa nimekupa nauli ila karoho kanauma kuona mtoto mzuri kama wewe unarudi kwenu nilitamani kukwambia neno moja yakuwa nakupenda ila nikajua nitakuwa nimehalibu suala zima la msaada na nikajuwa utafikilia huenda nakusadia kwa kuwa nakutaka nmeona nikusaidie uende kwenu ila naomba unifikilie mimi mtoto wa mwanamke mwenzako utanisaidiaje natamani kubaki na wewe tuishi pamoja unizalie mtoto kwaheri urugendo rwiza (safari njema)* niliandika na kinyarwanda ili kumvutia zaidi,
Nilikaa kusubili majibu ya sms yangu kwa Shamsa,,
Safari yangu iliendelea huku nikisubili majibu ya Shamsa,,

Nilifika posta nikaingia kilimanjaro hotel nikamkuta Eliza akinisubili kwa hamu nilipoingia tu alinipokea kwa busu la huba kisha tukakaa tukaagiza chakula wakati tunasubili chakula simu yangu ikaita alikuwa ni VICKY,
"Hallow nimefika hapa studio,,
"Ok, dk5 please,
"Sawa,,
Eliza akahoji,,
"Nani huyo?.
"Kazini, "mh!! Tutapata mda wa kutosha kweli?.
"Mda si ndio huu tule haraka haraka,,
"Izzo nilitaka nilipie chumba hapa tupumzike kidogo,
"Mh!! Haitawezekana babby,,
"Sawa basi,
Tulikula chakula nilipomaliza nikamwambia, "Elizabeth acha niende tutawasiliana "?
"Leo tutalala hapa nachukua chumba,,
"Sawa chukua,,
Ila nataka uwahi kuja tupate mda wa kujadili mambo yetu,,
"Sawa,,

Nilichomoka nikamuacha nikaenda zangu mpaka mda huo nilikuwa sijapata meseji ya shamsa na mimi nikakaa kimya tu,

Nilifika magomeni nikamuona VICKY alikuwa ndani ya GX yenye vioo vyeusi,
"Fungua mlango basi VICKY,,
alifungua mlango nikaingia ndani ya gari alikuwa peke yake,,
"Mambo vp VICKY?.
"Poa,,
"mbona kama umechukia VICKY?
"Nifurahie kipi unaniambia dk5 alafu unakuja baada ya saa limoja?.
"Nisamehe mpenzi wa miyee..,,
Alitabasam kidogo,,..
"Izzo tunaenda wapi au tunaongelea garini?.
"Twende kwangu,,..
"Ni wapi? "Pale mwanayamala kwa kopa kwenye round ya peace karibu na kwa Mzee Mushi Bar ,,
"Sawa twende na gari au niiache hapa?
"Haina shida twende nayo tu,
Tulienda kwangu,,

"Karibu ndani,, "asante,
VICKY aliingia ndani akapitiliza mpaka kitandani akajilaza,
"Nikuagizie chakula gani?.
"Aah!!!. Nikikuangalia nashiba tu,,
"Ayaaa bana,,
Tuliongea mengi likiwemo suala la kukaa pamoja na yeye kama mke na mme,,
"Siyo vibaya sawa ila sitokaa kwako,
"Izzochapa nitakupa pesa ununue nyumba uandae mazingira basi mimi nitakufuata,,
"Sawa,
Tuliongea hatimae tukaanza kubabashana kushikana shikana hatimae akshi zikatupanda tukalazana vizuri nguo zikatupwa kando nikapanda juu ya kiuno cha VICKY nikaanza kupampu mashine,
"Izzo tamuuuu ahh!!!.. mh!!!! Ingiza yoteee axiii tamuu ashiiii... iiii..
Nilimpepeta hatimae tukavuka mto wenye mamba wakali tukawa tunahemea juu juu,,
Gafla mlio wa sms ulisikika kwenye simu, Nikaifungua meseji ilikuwa imeandikwa Shamsa,
Nikafurahi kupata jibu la shamsa,,,,,,,, ,,,,,,


ENDELEA CHINI

Post a Comment

 
Top