0

Chama cha mapinduzi hatimaye kimeanza kapeni zake kupiga kwa kutumia usafiri wa anga kumnadi mgombea urais john pombe Magufuri
 Makada imara
wa CCM  Field Marshall Mwigulu Nchemba na Dkt. Hamis Kigwangalla waki-Magufulika kuonesha sapoti kwa Mgombea wao Dkt. John Pombe Magufuli aliyefanya tukio hilo siku si nyingi kwenye Jukwaa la Kampeni.


Post a Comment

 
Top