0

Kutokana na viungo washambuliaji wa arsenal kusaini mikataba mipya tar
31/7/2015 siku chache kabla ya mechi ya ngao ya hisani dhidi ya vijana

wenzao wa pale London, Kocha mkuu wa washika bunduki hao Arsenal

Wenger ha

timaye ali-iambia “website” ya klabu hiyo maneno yafuatayo:
“Tuna furaha kuongeza mikataba ya Theo na Sant. Wote ni wachezaji
wenye viwango vya juu na ni muhimu sana katika kikosi chetu….. Mbali

ya michango yao mikubwa uwanjani pia wachezaji hawa ni maarufu na wana

udhoefu mkubwa nje ya uwanja. Tunaomba radhi kutokana na kuongeza

mikataba yao ila itaimarisha kiwango cha kikosi chetu”
Inawezekana Mzee Wenger atadhidi kufanikiwa nje na ndani ya uwanja
kutokana na mikataba ya wachezaji hawa ambao wana uwezo wa kucheza

nafasi za ushambuliaji mbali na viungo.

Post a Comment

 
Top