0


Kocha wa arsenal yuko njiani kuiteka saini ya Mario Gotze mshambuliaji wa buyern munich ambae
hana namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha kocha mkuu wa buyern munich guardiola ivo a
naitaji kuondoka na arsenal wako mbioni kumchukua mshambuliaji huo ambaye aliipa ubimgwa ujerumani kwenye fainali za mwaka 2014

Post a Comment

 
Top